Kumbukumbu La Sheria 5:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wewe Mose usimame hapa karibu nami; mimi nitakuambia amri zote na masharti na maagizo ambayo utawafundisha, ili nchi ambayo ninawapa iwe mali yao.’

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:23-33