Kumbukumbu La Sheria 5:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Laiti wangekuwa daima na mawazo kama haya wakaniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendea vyema daima wao wenyewe na wazawa wao milele.

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:21-33