Kumbukumbu La Sheria 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Wala hakuna taifa lingine lolote hata liwe kuu namna gani, lenye masharti na maagizo ya haki, kama hayo ambayo nimewafundisha siku hii ya leo.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:3-16