Kumbukumbu La Sheria 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)

“Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:1-14