Kumbukumbu La Sheria 4:47 Biblia Habari Njema (BHN)

Waliitwaa nchi yake na nchi ya mfalme Ogu wa Bashani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko mashariki ya mto Yordani.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:40-49