Kumbukumbu La Sheria 4:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi, ili awalete na kuwapeni nchi yao iwe urithi wenu, kama ilivyo hadi leo!

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:28-47