Kumbukumbu La Sheria 4:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye rehema, hatawaacheni wala kuwaangamiza, wala kusahau agano ambalo alifanya na wazee wenu kwa kiapo.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:28-32