Kumbukumbu La Sheria 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:1-6