Kumbukumbu La Sheria 34:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Hii ndiyo nchi ile niliyomwapia Abrahamu, Isaka na Yakobo kwamba nitawapa wazawa wao. Nimekuonesha uione kwa macho yako mwenyewe, lakini hutafika huko.”

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:1-12