Kumbukumbu La Sheria 34:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakuna nabii mwingine ambaye alifanya ishara na miujiza kama ile ambayo Mwenyezi-Mungu aliyomtuma Mose afanye juu ya mfalme wa Misri, wakuu wake na nchi yake yote.

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:10-12