Kumbukumbu La Sheria 34:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mose akaondoka kwenye tambarare ya Moabu, akaenda mlimani Nebo, akapanda kilele cha Pisga kilicho mkabala wa Yeriko. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwonesha nchi yote: Toka Gileadi mpaka Dani;

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:1-4