Kumbukumbu La Sheria 33:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu aliwapenda watu wake;na huwalinda watakatifu wake wote.Hivyo, malaika wake walifuata nyayo zake,na kupata maagizo kutoka kwake.

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:1-11