Kumbukumbu La Sheria 33:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Nchi yake ijae yote yaliyo mema,ibarikiwe kwa wema wa Mwenyezi-Mungu,ambaye alitokea katika kichaka.Baraka hizi ziwashukie watu wa kabila la Yosefu,aliyekuwa mkuu miongoni mwa ndugu zake.

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:13-18