Kumbukumbu La Sheria 32:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawatetea watu wake,na kuwahurumia watumishi wake,wakati atakapoona nguvu zao zimeishia,wala hakuna aliyebaki, mfungwa au mtu huru.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:26-41