Kumbukumbu La Sheria 32:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Watakonda kwa njaa,wataangamizwa kwa homa kali.Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia,na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:19-32