Kumbukumbu La Sheria 32:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Wamenichochea kuona wivu kwa kitu kisicho mungu,wamenikasirisha kwa sanamu zao.Hivyo nitawafanya waone wivu kwa kisicho watu,nitawakasirisha kwa kutumia taifa la wapumbavu.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:11-22