Kumbukumbu La Sheria 32:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mafundisho yangu na yatone kama mvua,maneno yangu yadondoke kama umande,kama manyunyu kwenye mimea michanga,kama mvua nyepesi katika majani mabichi.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:1-8