Kumbukumbu La Sheria 32:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Walitambikia majini ambayo hayakuwa miungu,waliiendea miungu ambayo hawakuijua kamwe,miungu mipya iliyotokea siku za karibuni,ambayo wazee wao hawakuiheshimu kamwe.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:16-22