Kumbukumbu La Sheria 32:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Israeli walinona na kupiga mateke;walinenepa, wakawa na kitambi na kunawiri;kisha wakamwacha Mungu aliyewaumba,wakamdharau Mwamba wa wokovu wao.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:13-16