Kumbukumbu La Sheria 32:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliwapitisha katika nyanda za juu za nchi,nao wakala mazao ya mashambani.Akawapa asali miambani waonjena mafuta kutoka mwamba mgumu.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:5-23