Kumbukumbu La Sheria 32:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliwakuta katika nchi ya jangwa,nyika tupu zenye upepo mkali.Aliwalinda na kuwatunza,aliwafanya kama mboni ya jicho lake.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:8-11