Kumbukumbu La Sheria 31:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mose aliandika sheria hiyo, akawapa makuhani wa ukoo wa Lawi ambao walikuwa na jukumu la kubeba agano la Mwenyezi-Mungu, na wazee wote wa Israeli.

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:5-19