Kumbukumbu La Sheria 31:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwagiza Yoshua, mwana wa Nuni, akamwambia, “Uwe imara na hodari, maana utawaongoza Waisraeli katika nchi ambayo nimewaapia kuwapa, nami nitakuwa pamoja nawe.”

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:13-24