Kumbukumbu La Sheria 31:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Umekaribia sasa kuaga dunia, na baada ya kufariki, watu wataanza kuniacha na kuiendea miungu mingine ya nchi hiyo ambamo watakwenda kuishi; wataniacha na kuvunja agano nililoagana nao.

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:9-26