Kumbukumbu La Sheria 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanyeni nyinyi na wazawa wenu muwe na moyo wa utii ili mumpende yeye kwa moyo wenu wote na roho yenu yote, mpate kuishi.

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:1-7