Kumbukumbu La Sheria 30:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose akaendelea kusema, “Nimewapeni uchaguzi kati ya baraka na laana. Mambo hayo yote yakiwapata nanyi mkiyatafakari popote mlipo miongoni mwa mataifa ambamo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atakuwa amewatawanya,

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:1-8