Kumbukumbu La Sheria 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:2-18