Kumbukumbu La Sheria 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha nikamwamuru Yoshua, ‘Wewe umeona kwa macho yako mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amewatendea wafalme hawa wawili, Sihoni na Ogu; basi, yeye atawatendea vivyo hivyo wafalme wa nchi zote mtakazopitia.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:16-29