Kumbukumbu La Sheria 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tulipoitwaa nchi hiyo, niliwapa makabila ya Reubeni na Gadi eneo la kuanzia kaskazini mwa Aroeri karibu na Arnoni na nusu ya eneo la milima ya Gileadi, pamoja na miji yake.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:5-22