Kumbukumbu La Sheria 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Tuliiteka miji yote katika sehemu tambarare za mwinuko, na pia eneo lote la Gileadi na Bashani mpaka Saleka na Edrei, miji ya mfalme Ogu huko Bashani.”

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:1-18