Kumbukumbu La Sheria 29:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Mwenyezi-Mungu, akawangoa kutoka katika nchi yao kwa hasira na ghadhabu kubwa, akawatupa katika nchi nyingine kama ilivyo leo.’

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:18-29