Kumbukumbu La Sheria 29:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Chukueni hadhari kwamba hakuna mwanamume, mwanamke, jamaa au kabila lolote linalosimama hapa leo litakalomwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kwenda kutumikia miungu ya mataifa mengine. Jambo hili litakuwa kama mzizi utakaomea na kuzaa matunda machungu yenye sumu.

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:11-21