Kumbukumbu La Sheria 28:9 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mwenyezi-Mungu atawafanyeni kuwa watu wake watakatifu kama alivyowaahidi, kama mkizitii amri zake yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata njia zake.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:7-13