Kumbukumbu La Sheria 28:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:2-9