Kumbukumbu La Sheria 28:64 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka pembe moja ya dunia hadi nyingine na huko mtaitumikia miungu mingine ya miti na mawe, miungu ambayo nyinyi wala wazee wenu hawakuijua.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:61-67