Kumbukumbu La Sheria 28:62 Biblia Habari Njema (BHN)

Ijapokuwa nyinyi ni wengi kama nyota za mbinguni, lakini mtakuwa wachache tu kwa kuwa hamkutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:60-68