Kumbukumbu La Sheria 28:44 Biblia Habari Njema (BHN)

Wao watawakopesha nyinyi, lakini nyinyi hamtakuwa na uwezo wa kuwakopesha. Wao watakuwa wa kwanza kwa nguvu nanyi mtakuwa wa mwisho.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:37-45