Kumbukumbu La Sheria 28:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ataifanya vumbi na mchanga kuwa mvua yenu, vumbi litawanyeshea mpaka mmeangamizwa.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:16-30