Kumbukumbu La Sheria 28:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawashambulia kwa kifua kikuu, homa, majipu, joto kali, ukame, dhoruba na ukungu; mambo hayo yatawaandama mpaka mmeangamia.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:14-24