Kumbukumbu La Sheria 28:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:6-20