Kumbukumbu La Sheria 27:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Naam, madhabahu yoyote mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lazima ijengwe kwa mawe yasiyochongwa. Juu ya madhabahu hiyo mtamtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu sadaka za kuteketezwa.

Kumbukumbu La Sheria 27

Kumbukumbu La Sheria 27:1-8