Kumbukumbu La Sheria 27:22 Biblia Habari Njema (BHN)

“ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na dada yake awe ni binti ya baba yake au binti ya mama yake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Kumbukumbu La Sheria 27

Kumbukumbu La Sheria 27:16-26