Kumbukumbu La Sheria 27:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Na makabila yafuatayo yatasimama juu ya mlima Ebali wakati laana zitakapotolewa: Reubeni, Gadi, Asheri, Zebuluni, Dani na Naftali.

Kumbukumbu La Sheria 27

Kumbukumbu La Sheria 27:9-18