Kumbukumbu La Sheria 26:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mwenyezi-Mungu akatutoa huko Misri kwa mkono wake wa nguvu ulionyoshwa, kwa vitisho, ishara na maajabu.

Kumbukumbu La Sheria 26

Kumbukumbu La Sheria 26:1-15