Kumbukumbu La Sheria 24:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnapochuma zabibu, msirudi kuokota zabibu zilizobaki ila waachieni wageni, yatima na wajane.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:17-22