Kumbukumbu La Sheria 24:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. “Ikiwa mwanamume ameoa mke na baadaye akawa hapendezwi naye kwa sababu ameona kwake kitu kisichofaa, basi, huyo mwanamume akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, kisha huyo mwanamke akaondoka,

2. akaolewa na mwanamume mwingine,

Kumbukumbu La Sheria 24