Kumbukumbu La Sheria 23:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Msiwachukie Waedomu; hao ni ndugu zenu. Na msiwachukie Wamisri, kwani mlikaa katika nchi yao kama wageni.

Kumbukumbu La Sheria 23

Kumbukumbu La Sheria 23:1-15