Kumbukumbu La Sheria 23:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu; badala yake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwapenda.

Kumbukumbu La Sheria 23

Kumbukumbu La Sheria 23:1-6