Kumbukumbu La Sheria 23:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kambi yenu lazima iwe takatifu kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anatembea kambini mwenu ili awaokoe na kuwatia adui zenu mikononi mwenu. Kwa hiyo msimwache aone kitu chochote kisichofaa miongoni mwenu, la sivyo atawaacheni.

Kumbukumbu La Sheria 23

Kumbukumbu La Sheria 23:4-18