Kumbukumbu La Sheria 22:9 Biblia Habari Njema (BHN)

“Usipande mizabibu yako pamoja na mimea mingine, la sivyo mazao yote yatakuwa haramu, siyo tu yale uliyopanda bali pia matunda ya mizabibu.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:1-14